Sunday, August 6, 2017
Home »
» Tamasha la miaka 10 ya mbunifu wa mavazi Tanzania Ally Remtulah lilivyofana, Tazama picha..
Tamasha la miaka 10 ya mbunifu wa mavazi Tanzania Ally Remtulah lilivyofana, Tazama picha..
Muandaaji wa mbunifu wa mavazi wa Tanzania Ally Remtulah aliandaa tamasha kubwa la fashion lililodhaminiwa na wafadhili mbali mbali wakubwa wakiwemo Mercedes Benz, Clouds Fm na wengine wengi yote ni kwa ajili ya kusherehekea yeye kutimiza miaka 10 katika tasnia hiyo.Jambo hilo linaloonyesha kukua kwa tasnia hiyo nchini. Tazama picha kilicho tokea siku hiyo..
0 comments:
Post a Comment