Sunday, December 3, 2017
Home »
» Akaunti ya Instagram ya Mange Kimambi yapotea ghafla mtandaoni.
Akaunti ya Instagram ya Mange Kimambi yapotea ghafla mtandaoni.
Gumzo laibuka mitandaoni baada ya akaunti ya mwanaada maarufu kwa kuikosoa serikali Mange Kimambi kutoweka ghafla mtandaoni bila sababu maalum. Muda halisi wa kutoweka kwa akaunti hiyo bado haujajulikana japokuwa kuna maneno ya watu wanaodai kuwa huenda akaunti hiyo imekuwa hacked na kufutwa kabisa. Mpaka sasa bado tunafatilia na tutakujulisha hapa kinachoendelea kupitia TrendTzNews.
0 comments:
Post a Comment