Sunday, August 6, 2017

Gatlin ampigia magoti Bolt baada ya kumshinda katika mashindano ya dunia M. 100 .

Hatimaye kile alicho kitamani kwa muda mrefu mkimbiaji wa kimarekani Gatlin kimetimia siku ya jana baada ya kumshinda mpinzaji wake Usain Bolt katika mbio za mita 100 zilizofanyika jijini London. Kitu cha kushangaza baada ya Gatlin kushinda ni pale alipomfata Bolt na kumpigia magoti kwa heshima. Tazama picha kilichotokea.





Share:

0 comments:

Post a Comment

Breaking News

Contact Us

Name

Email *

Message *

Translate

Total Pageviews