Friday, April 7, 2017
Home »
» Orodha nzima ya waliowahi kuwa wakuu wa mkoa wa Mwanza.
Orodha nzima ya waliowahi kuwa wakuu wa mkoa wa Mwanza.
Mwanza ni mkoa ambao unapatikana katika kanda ya ziwa na unafahamika sana kwa zao lake la biashara la pamba. Kuna wakuu wa mikoa kadhaa ambao wamekwisha pitia katika mkoa huu, hii hapa listi ya wakuu wote wa mikoa kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho.
0 comments:
Post a Comment