Tuesday, August 1, 2017

Maajabu ya soka: Mbrazili Pelle aliweza kusimamisha vita vya ndani Nigeria kwa masaa 48.

 Mwaka 1969 vita vya ndani vya Nigeria vilisimama kwa masaa 48 kwajili ya kumshuhudia mwamba wa soka Pelle akicheza katika ardhi ya ya nchi hiyo. Timu ya taifa ya Brazil iliweza kupangiwa kucheza baadhi ya michezo ambapo moja kati ya nchi ilizopangiwa kucheza timu hiyo ya taifa  likuwa ni nchi ya Nigeria ambayo ilikubwa na vita ya ndabni baada ya muda, vita hiyo ilihusisha serikali ya nchi ya Nigeria na serikali iliyokuwa imejitenga kwa mda huo iliyoitwa Biafra. Baada ya vita hivyo kuzuka bado mechi hiyo haikuweza kuzuiliwa wala kusitishwa hivyo timu ya Brazil ilibidi kwenda nchini humo na kucheza mechi hiyo. Wakati wa mechi hiyo pande zote mbili zilikubaliana kusitisha vita hivyo kwa masaa 48 ili kuweza kuhudhuria mechi hiyo na kumshuhudia Pelle akiwa uwanjani jambo lililo weka historia inayokumbukwa mpaka leo katika soka.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Breaking News

Contact Us

Name

Email *

Message *

Translate

Total Pageviews