Sunday, July 16, 2017

Watu walivyomiminika nje ya nyumba anayoishi mchezaji wa Ajax "Appie Nouri" aliyepata matatizo ya ubongo uwanjani.

Siku ya jana mashabiki wa Ajax na wapenzi wa soka walimiminika nyumbani kwao na mchezaji wa Ajax mwenye umri wa miaka 20 tu aliyepatwa na tatizo la ubongo wakati akiwa uwanjani Abdelhak Nouri maarufu kama "Appie Nouri" kwa ajili ya maombi ya afya kwa mchezaji huyo. Nouri alipatwa ghafla na tatizo hilo wakati akiwa uwanjani katika mechi ya kirafiki na Werder Bremen.
Baadhi ya mashabiki walilala nje ya nyumba anayoishi mchezaji huyo wakimwombea.

Tazama video ya kilichotokea uwanjani na jinsi mchezaji huyo alivyoanguka kupitia Trend Tv.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Breaking News

Contact Us

Name

Email *

Message *

Translate

Total Pageviews