Thursday, July 13, 2017

Aliyemvamia na kumkumbatia Rooney aachiwa kwa amri ya makamu wa raisi.

Shabiki aliyejitoa ufahamu na kuingia uwanjani hatimaye kumkumbatia mchezaji wa Everton Wayne Rooney wakati wa mechi kati ya Everton na Gor Mahia ya Kenya ameachiwa tayari kwa amri ya makamu wa raisi mama Samia Suluhu Hassan ambaye alikuwa mgeni rasmi katika pambano hilo.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Breaking News

Contact Us

Name

Email *

Message *

Translate

Total Pageviews