Kampuni ya Sahara media inayomiliki vituo vya habari vya Radio Free, Kiss Fm pamoja na Star Tv imefungiwa na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwa siku 14 baada ya kudaiwa deni la zaidi ya billioni 4 fedha za kitanzania na endapo isipolipa ndani ya siku hizo itapigwa mnada ili kufidia deni hilo.
Kampuni ya Sahara media ni kampuni ambayo inamilikiwa na aliyekuwa waziri wa maji Mhe. Antony Dialo ambayo inamiliki vituo hivyo vya habari vyenye nguvu hapa nchini na nje ya nchi.
Nice blog...keep it up
ReplyDelete