Katika mtandao wa twitter watu huweza kushare vitu vya wenzao kwa kuretweet ujumbe uliopostiwa. Hii ni orodha ya walioongoza kwa kupata retweet nyingi mwaka 2017.
1. Mchezaji wa mpira wa miguu wa kimarekani Carter Wilkerson. Carter pia ni miongoni mwa wapenzi wa kipindi cha Television kiitwacho
Wendy's show ambapo carter alipost akiomba kupewa kuku na alipewa mashrti ya kufikisha retweet millioni 18 japokuwa hakuzifikisha lakini aliweza kufikia retweet zaidi ya millioni 3.6 jambo linalomfanya kuongoza orodha hiyo mwaka 2017.
2. Ariana Grande baada ya kupost ujumbe wa kusikitishwa katika shambulio la bomu kwenye show yake aliyokuwa akiifanya Manchester uingereza.
3. Mchezaji wa mpira Jermain Defoe akiomboleza baada ya kifo cha shabiki maarufu mtoto wa mpira aliyefariki.
4. Ujumbe wa Barack Obama kuhusu haki na usawa kwa watu wote.
5. Mchezaji wa zamani wa mpira Andy Johson's kusapoti kampeni ya kiafya .
0 comments:
Post a Comment