Sunday, December 10, 2017
Home »
» Mange Kimambi atumia akaunti nyingine ya Instagram kuendeleza mashuti mitandaoni.
Mange Kimambi atumia akaunti nyingine ya Instagram kuendeleza mashuti mitandaoni.
Mwanamke maarufu kwa kuwakosoa wanasiasa wa Tanzania Mange Kimambi ambaye alikuwa amefungiwa account yake sasa amekuja na account mpya ya Instagram. Mange aliruka live ili kuwadhihirishia watu kuwa ni yeye katika account na amekwisha anza kuitumia account hiyo kwa shughuli zake za kawaida.
0 comments:
Post a Comment