Thursday, November 30, 2017
Home »
» Shilole aendeleza safari yake ya ujasiliamali
Shilole aendeleza safari yake ya ujasiliamali
Msanii wa muziki wa Bongo flavour Shilole ambaye pia ni mama lishe katika mgahawa wake alioufungua mwenyewe hivi karibuni aamua kujiingiza rasmi katika ujasiriamali. Hiyo imeonekana wazi baada ya Shilole kuposti picha akiwa na shehena ya mananasi katika mkoa wa Geita japokuwa Shilole mwenyewe hajatamka rasmi kuwa kaanza kuuza na kusafirisha mananasi hayo lakini watu wengi wamepongeza jitihada za msanii huyo katika ujasiriamali wake na tabia yake ya kujituma.
0 comments:
Post a Comment