Siku ya jumapili iliyopita Harvey Weinstein alipigiwa kura na kufukuzwa katika kampuni aliyoianzisha yeye akiwa pamoja na kaka yake.
Saturday, October 14, 2017
Home »
» Tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia zamfanya muongozaji Harvey Weinstein kutimuliwa Oscar.
Tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia zamfanya muongozaji Harvey Weinstein kutimuliwa Oscar.
Shirikisho la Oscar Academy siku ya jana limechukua maamuzi ya kumfukuza muongozaji na mtayarishaji maarufu wa filamu Harvey Weinstein kutoka katika shirikisho hilo kutokana na kukabiliwa na tuhuma nyingi za mara kwa mara za unyanyasaji wa kijinsia kwa waigizaji wa kike.
Muigizaji maarufu wa filamu Lysette Antony alikuwa muigizaji wa 15 kulalamika kuwa amenyanyaswa kijinsia na muongozaji huyo wa filamu akiingia katika orodha ya wasanii wengine maarufu kama Angelina Jolie pamoja na Gwyneth Paltrow.
Uamuzi wa shirikisho hilo umekuja katika muda ambao bado madai pamoja na kesi unyanyasaji zinazomkabili muongozaji huyo zikichunguzwa na police.
Siku ya jumapili iliyopita Harvey Weinstein alipigiwa kura na kufukuzwa katika kampuni aliyoianzisha yeye akiwa pamoja na kaka yake.
Siku ya jumapili iliyopita Harvey Weinstein alipigiwa kura na kufukuzwa katika kampuni aliyoianzisha yeye akiwa pamoja na kaka yake.
Best Roulette Games Online: The 7 Best Casinos for Slots
ReplyDeleteJackpot City is the favorite casino in the 서산 출장마사지 UK for 안성 출장샵 slots, table games, live dealer casino, and a live dealer 경산 출장마사지 Roulette experience for you 영천 출장마사지 to enjoy! 익산 출장마사지 This