Thursday, August 3, 2017

Klitschiko atangaza kustaafu ubondia leo.

Wladmir Klitschko ametangaza kustafu ubondia siku ya leo. Bondia huyo aliyewahi kushikilia taji la uzito wa juu la dunia (Heavyweigth) ametoa tangazo hilo siku ya ya leo jambo lililowashtua watu wengi maana anatarajiwa kurudiana na muingereza Anthony Joshua katika pambano litakalofanyika mwezi wa 11 mwaka huu. Katika pambano la kwanza Klistchko alipigwa nockout na Joshua katika raundi ya 11. 
Taji la kwanza Wladmir Klitschko kulipata ilikuwa ni medali ya dhahabu katika mashindano ya olympic yaliyofanyika mwaka 1996 Atlanta medali iliyompa tiketi ya yeye kufahamika dunia nzima.



Share:

0 comments:

Post a Comment

Breaking News

Contact Us

Name

Email *

Message *

Translate

Total Pageviews