Thursday, July 6, 2017

Mwanamke atuhumiwa kuwauwa wanae 4 pamoja na mume wake Georgia Marekani.

Isabel Martinez mwenye umri wa miaka 33 ametuhumiwa kwa kosa la kuwauwa watoto wake wanne (4) pamoja na mume wake nyumbani kwao Loganville Georgia nchini Marekani.

Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa na polisi yanasema kuwa mwanamke huyo alipiga simu polisi majira ya saa 11 asubuhi na polisi walipofika eneo la tukio walikuta tayari watu hao (5) wamekwisha fariki.

Mpaka sasa polisi wamedai kutojua lengo kamili la mauaji hayo na wanaendelea na uchunguzi zaidi.
Share:

1 comment:

  1. Enter your comment...da Noma sana huyo mama analoh ya ajabu sana

    ReplyDelete

Breaking News

Contact Us

Name

Email *

Message *

Translate

Total Pageviews