Polisi jiji la Maryland wamewakamata vijana 3 waliowapiga risasi na kuwauwa vijana 2 waliokuwa wakitoka katika graduation yao eneo la Montgomery mile 20 kutoka katika mji wa Washington siku ya tarehe 5 mwezi wa 6 mwaka huu.
Skauti wakiwa wamebeba jenela la moja kati ya vijana waliopigwa risasi siku hiyo. |
Polisi wamewataja waliokamatwa kuwa ni Jose Canalez(25), Ediger Garcia(24) na Roger Garcia (19). Watuhumiwa hao watapandishwa kizimbani siku ya kesho ambapo watasomewa mashtaka ya mauaji (first degree murder) wote.
0 comments:
Post a Comment