Kampuni ya microsoft imeonyesha kujipanga zaidi katika soko la ushindani hasa katika uboreshaji wa vifaa vyake ikiwemo earphones zenye uwezo wa kuzuia maji pia zinazotumia bluetooth.
![]() |
Earphone zenye uwezo wa bluetooth pia huzuia maji. |
![]() |
Mouse zenye uwezo wa bluetooth zilizo katika maumbo mbali mbali |
![]() |
Wireless Keyboard |
0 comments:
Post a Comment