Thursday, June 8, 2017

Chris Brown kuzindua filamu inayoelezea maisha yake usiku wa leo.

Chriss Mourice Brown ama Chriss Brown leo amezindua filamu yake inayoelezea maisha yake tangia akiwa mdogo mpaka sasa. Filamu hiyo iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wengi wa muziki wake imeachiwa leo katika mjumba mbalimbali ya sinema nchini marekani huku maelfu wakinunua tiketi mitandaoni ili tu kuitazama filamu hiyo.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Breaking News

Contact Us

Name

Email *

Message *

Translate

Total Pageviews