Baada ya kupotea kwa wasaanii wa muziki wa Hip-Hop tanzania Roma pamoja na Moni ambao inadaiwa kuwa walichukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana katika studio za Tongwe records hatimaye Wizara ya habari, utamaduni sanaa na michezo imeongea na kuonyesha kuguswa na hilo.
Friday, April 7, 2017
Home »
ENTERTAINMENT
» Inachokisema wizara kuhusiana na kupotea kwa Roma na Moni.
0 comments:
Post a Comment