Ekaterina Lisinia mwenye miaka 29 raia wa Urusi ndiye anayefahamika kama mwanamitindo (model) mrefu kuliko wote duniani kwa sasa akiwa na urefu wa Foot 6 na inch 9.
Ekaterina alishawahi kuwa mchezaji wa Basket ball katika timu ya taifa ya wanawake ya Urusi iliyoshiriki katika mashindano ya Olympic ya mwaka 2008 Beijing, China ambapo alifanikiwa kushinda medal moja.
Mwanamitindo huyo ana miguu yenye urefu wa Inch 52 inayomfanya kuwa mwanamitindo mwenye miguu mirefu zaidi duniani.
0 comments:
Post a Comment