Mpaka sasa polisi wamethibitisha kumkamata kijana mmoja mwenye umri wa miaka 23 ambaye amehusiswa na shambulio hilo lililotokea majira ya saa 4 Dkk 33 Usiku kwa saa za uingereza katika tamasha la muziki lililokuwa likifanywa na mwanamziki Ariana Grande katika ukumbi wa Manchester Arena usiku wa jana.
TAZAMA KINACHOENDELEA SASA HIVI.
0 comments:
Post a Comment