Thursday, March 23, 2017

Matumizi ya chumvi nyingi katika chakula kusababisha vifo vya watu zaidi ya 14,000 duniani kila mwaka.

Chumvi imekuwa ikiripotiwa kusababisha matatizo mengi katika miili ya binadamu hasa kwa wale wanaopenda kutumia chumvi kupita kiasi. Kwa mujibu wawafanya kampeni za afya duniani wamesema kuwa takribani vifo zaidi ya 14,000 duniani vinasababishwa na chumvi nyingi katika chakula na utumiaji wa zaidi ya gramu 6 z chumvi kwa siku pia magonjwa kama mshtuko wa moyo, presha na mgonjwa mbalimbali ya moyo hutokana na matumizi hayo mabovu ya chumvi katika chakula.
Nchini Uingeleza kumekuwa na kampeni mbalimbali za kupunguza chumvi katika vyakula ili kufikia malengwa yaliyowekwa ya kila binadamu kutotumia zaidi ya gramu 6. "Viwanda vinvyozalisha chakula vimepunguza kiasi cha chumvi katika chakula kwa asilimia 11 katika ya hivi karibuni jambo linalotoa hamasa katika kampeni hii ya kupunguza chumvi kwenye vyakula" maneno hayo yalisenwa na Dr Alison Tedstone ambaye ni mkuu wa kitengo cha chakula bora na afya ya jamii uingeleza alipohojiwa na Sky News.



Share:

0 comments:

Post a Comment

Breaking News

Contact Us

Name

Email *

Message *

Translate

Total Pageviews